Utambulishaji wa vikundi vya wanawake na vijana wanao lima zao la mwani.

   

                                                                       Wafanyakazi wa LANGO, @Oxfam Tanzani pamoja na @msoapomtwara walitembela vikundi mbambali vya wakulima wa mwani katika kata ya Mchinga kupitia mradi wa kupinga ukatili wa kijinsia na uwezeshaji wa kiuchumi kwa wanawake na vijana , kwa lengo la kuvitambua vikundi hivyo na kujadiliana namna ya kuwawezesha wakulima wa mwani juu ya mbinu za kisasa  za uzalishaji, ili kuwainua kiuchumi.

 

 2 Comments

 • I don’t know whether it’s just me or if perhaps everybody else encountering problems with your
  site. It appears like some of the text within your content
  are running off the screen. Can somebody else please
  provide feedback and let me know if this is
  happening to them as well? This may be a problem with my internet
  browser because I’ve had this happen before.
  Many thanks

  Here is my homepage Royal CBD

Leave a Reply