Ugawaji wa vitendea kazi kwa vikundi 6 vya wakulima wa mwani

Mkurugenzi wa Shirika la LANGO akigawa vitendea kazi kwa maana ya vifaa vya kutumia wakati wa kulima zao la mwani kwa vikundi 6 vya Wanawake na Vijana wanaojishughulisha na kilimo cha Mwani katika kata ya Mchinga Wilaya ya Lindi . Lengo kubwa lilikuwa  kuwezesha kuongeza uzalisahaji na kujikwamua kiuchumi @Oxfam Tanzania  @langotanzani.2 Comments

Leave a Reply