Mafunzo ya kuwajengea uwezo wakulima wa mwani.

         

Mkurugenzi wa Shirika la LANGO pichani  Mr Michle Mwanga alisema haya katika mafunzo ya kuwajengea uwezo wakulima wa mwani. ” Tusifanye uzalishaji kwa mazoea tu bali kujifunza ni muhimu ili kuwa wataalamu zaidi wa zao la Mwani.”Lengo lilikuwa kuwaongezea utaalamu katika ukulima wa zao hilo ikiwemo kuwatolea mifano ya jinsi gani wanaweza kuzalisha kwa wingi na matumizi mbalimbali ya zao hilo .Mafunzo haya yalifanyika katika kata ya Mchinga wilaya ya Lindi. yaliendeshwa na mtaalamu na mkulima wa mwani. @Oxfamtanzania @Langotanzania.4 Comments

Leave a Reply