Governance and Management.
LANGO’s highest decision making body is the Annual General Assembly (AGM) in which each member organization is represented with 3 to 5 persons.
Read moreFocus Areas
Capacity Building to CSOs and local communities to advocate for the right of the poor and play an oversight role in policy implementation and monitoring
Read moreWorking Areas
LANGO is working in 5 districts of Lindi region of which are; Kilwa, Liwale, Nachingwea, Ruangwa and Lindi with a total population of 864,652 where 450,145 are female and 414,507 male (Source: 2012 Census).
Read moreAbout Us
Lindi (Region) Association of Non Governmental Organizations (Lango)
Lindi (Region) Association of Non Governmental Organizations – LANGO is non partisan and not for profit making and/or sharing registered Non Governmental Organization (NGO) network, established in June, 2007 and registered on 29th September 2008 by Registrar of Non Governmental Organizations under the Ministry of Community Development, Gender and Children (MCDGC) with given Registration Number 08NGO/00002518 made under section 12 (2) (Application for Registration under) Act No.24 of 2002. LANGO members are registered District NGO Networks working in Lindi District (LINGONET), Liwale District (ULIDINGO), Kilwa District (KINGONET), Ruangwa District (RUANGONET) and Nachingwea District (NANGONET). Currently, LANGO has five district networks member organizations with more than 160 NGOs/CSOs/CBOS working at grass root level.
0
0
0
Our Work
Latest News
-
WADAU WA MRADI WA GESI WA LNG NA BOMBA LA MAFUTA LA EACOP KATIKA MEZA MOJA
Shirika la LANGO kwa ufadhili wa shirika la OXFAM International limefanya ziara ya mafunzo jijini Tanga kwenye mradi wa bomba la mafuta la EACOP. Ziara hiyo imeshirikisha wadau wa mradi wa kuchakata gesi asilia wa LNG (Lindi) ambao ni shirika la LANGO, viongozi wa Manispaa ya Lindi akiwemo Mchumi wa Manispaa ya Lindi, viongozi wa
June 22, 2022 in Latest News -
SERIKALI YA LINDI KUWEKA MIKAKATI THABITI JUU YA UJIO WA MRADI WA GESI WA LGN
Meya wa Lindi, Frank Magari amesema serikali mkoani humo imeazimia kuhakikisha wananchi wanashiriki kikamilifu katika fursa za uwekezaji zitakazoambata na ujio wa mradi mkubwa wa kuchakata gesi asilia wa LNG unaotarajia kuanza hivi punde katika Kata ya Mbanja Manispaa ya Lindi. Magari amezungumza hayo katika jukwaa la uziduaji lililoandaliwa na shirika la LANGO kwa ufadhili
December 21, 2021 in Latest News -
WAKAZI WA LINDI WATAHADHARISHWA KUEPUKA MATAPELI
Wakazi wa mkoa wa Lindi hususani wanaokaa kuzunguka mradi wa kuchakata gesi wa LNG, uliopo katika kata ya Mbaja katika Manispaa ya Lindi wapewa onyo kuepuka matapeli wanaochangisha wananchi hao fedha kwa kuwaahidi kuwapatia nafasi za ajira pindi mradi huo utakapoanza. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Shirika lisislo la Kiserikali la Lindi (LANGO) Ndg. Michael
October 13, 2021 in Latest News -
ZOEZI LA UFUATILIAJI WA MAENDELEO YA VIKUNDI VYA WAKULIMA WA MWANI
Shirika la LANGO limefanya ziara ya kukagua mashamba ya vikundi vya wakulima wa mwani katika Kata ya Mchinga Manispaa ya Lindi kwa lengo la kutathimini maendeleo ya shughuli zinazofanywa na vikundi hivyo. Kusudio kuu la LANGO ni kutaka kuona na kufahamu kwamba juhudi zinazofanywa na shirika hilo la kuwezesha na kuinua maisha ya wananchi wenye
August 20, 2021 in Latest News