Mkurugenzi wa Shirika la LANGO akigawa vitendea kazi kwa maana ya vifaa vya kutumia wakati wa kulima zao la mwani kwa vikundi 6 vya Wanawake na Vijana wanaojishughulisha na kilimo cha Mwani katika kata ya Mchinga Wilaya ya Lindi . Lengo kubwa lilikuwa kuwezesha kuongeza uzalisahaji na kujikwamua kiuchumi @Oxfam Tanzania @langotanzani.
Ugawaji wa vitendea kazi kwa vikundi 6 vya wakulima wa mwani
Categories:
2 thoughts on “Ugawaji wa vitendea kazi kwa vikundi 6 vya wakulima wa mwani”
Leave a Reply Cancel reply
Related Post
WAKAZI WA LINDI WATAHADHARISHWA KUEPUKA MATAPELIWAKAZI WA LINDI WATAHADHARISHWA KUEPUKA MATAPELI
Wakazi wa mkoa wa Lindi hususani wanaokaa kuzunguka mradi wa kuchakata gesi wa LNG, uliopo katika kata ya Mbaja katika Manispaa ya Lindi wapewa onyo kuepuka matapeli wanaochangisha wananchi hao

FURAHA YA MKULIMA NI MAVUNOFURAHA YA MKULIMA NI MAVUNO
Katika kuelekea kufikia lengo la kuimarisha na kuinua uchumi wa wanake na vijana wanaolima zao la Mwani , kikundi cha NAMIHODI MWISHO pamoja na kikundi cha MUUNGANO
Happy Womens day to all Ladies across the worldHappy Womens day to all Ladies across the world
On the day like this (8 February ) we humble Our humanity and give respect to all women in each corner of the word we live in, each country ,
Hello my family member! I wish to say that this article is awesome, great written and include approximately all vital infos. I would like to see more posts like this. Cathee Claus Ros
Thanks