Ugawaji wa vitendea kazi kwa vikundi 6 vya wakulima wa mwani

Mkurugenzi wa Shirika la LANGO akigawa vitendea kazi kwa maana ya vifaa vya kutumia wakati wa kulima zao la mwani kwa vikundi 6 vya Wanawake na Vijana wanaojishughulisha na kilimo cha Mwani katika kata ya Mchinga Wilaya ya Lindi . Lengo kubwa lilikuwa  kuwezesha kuongeza uzalisahaji na kujikwamua kiuchumi @Oxfam Tanzania  @langotanzani.

2 thoughts on “Ugawaji wa vitendea kazi kwa vikundi 6 vya wakulima wa mwani”

  1. Hello my family member! I wish to say that this article is awesome, great written and include approximately all vital infos. I would like to see more posts like this. Cathee Claus Ros

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post