Zoezi la kutembelea shule za msingi mkoani Lindi.

Zoezi la kutembelea shule za msingi mkoani Lindi. post thumbnail image

LANGO kupitia Mradi wa Kupinga ukatili wa kijinsia na uwezeshaji wa kiuchumi kwa wanawake na vijana, limefanya zoezi la ugawaji wa vifaa vya kunawia mikono katika shule za msingi 7 na shule za sekondari 2 zilizopo katika kata za Mbanja na Mchinga wilayani Lindi ikiwa ni katika kuunga mkono jitihada za serikali na wadau wengine  za kupambana na Virusi vya Korona.

 

4 thoughts on “Zoezi la kutembelea shule za msingi mkoani Lindi.”

  1. Thank you for the sensible critique. Me & my neighbor were just preparing to do a little research on this. We got a grab a book from our local library but I think I learned more from this post. I am very glad to see such great information being shared freely out there. Jamie Jay Lelia

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post