UTAMBUZI WA WARAGHIBISHI KATA ZA RUANGWA

 

Kupitia mradi  wa Kuimarisha Ushiriki wa Wananchi, Uwazi na Uwajibikaji katika Usimamizi wa Tozo ya Huduma kutoka Sekta ya Madini  na Gesi Asilia. LANGO Imefanya   utambuzi wa waraghibishi katika kata za Chunyu, Matambalale na  Mbekenyera zilizopo wilaya ya  Ruangwa Mkoa wa Lindi.  Kwa ufadhili wa Shirika la Open Society Initiative for Eastern Africa (OSIEA)



Leave a Reply