Mafunzo ya Uraghibishi Wilayani Ruangwa

Washiriki kutoka kata za Chunyu, Matambalale na Mbekenyera wilayani Ruangwa Mkoa wa Lindi wakiwa katika mafunzo ya Uraghbishi yaliyoandaliwa na kutekelezwa na LANGO  kwa ufadhili wa @Open Society Initiative for Eastern African (OSIEA).Leave a Reply