Mrejesho wa uchaguzi wa serikali za mita kwa WANAWAKE walioshinda na waliochaguliwa kushiriki katika mchakato mzima wa uchaguzi mwaka 2019, wakieleza mafanikio, changamoto na namna ya walivyozitatua changamoto hizo walizopitia wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2019 yaliofanyika Lindi Mjini katika ukumbi wa Chama cha Walimu
Kikao cha Mrejesho wa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa wanawake.

Categories:
Related Post
WADAU WA ZAO LA MWANI WAKUTANA KATIKA JUKWAA MOJAWADAU WA ZAO LA MWANI WAKUTANA KATIKA JUKWAA MOJA
Shirika la LANGO kwa ufadhili wa shirika la OXFAM Tanzania limeandaa jukwaa lililowakutanisha wadau mbalimbali wa zao la mwani ikiwemo wakulima, makampuni yawanunuzi, pamoja na Watendaji wa serikali ambao ni
#WorldEnviromentDay#WorldEnviromentDay
Shirika la LANGO linaungana na dunia kuadhimisha siku ya Mazingira duniani. Kila mmoja anao wajibu wa kutunza pamoja na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia ya nchi kulingana kauli
WADAU WA MRADI WA GESI WA LNG NA BOMBA LA MAFUTA LA EACOP KATIKA MEZA MOJAWADAU WA MRADI WA GESI WA LNG NA BOMBA LA MAFUTA LA EACOP KATIKA MEZA MOJA
Shirika la LANGO kwa ufadhili wa shirika la OXFAM International limefanya ziara ya mafunzo jijini Tanga kwenye mradi wa bomba la mafuta la EACOP. Ziara hiyo imeshirikisha wadau wa mradi