- February 22, 2021
- Posted by: Lango Tanzania
- Category: Latest News
No Comments
Washiriki kutoka kata za Chunyu, Matambalale na Mbekenyera wilayani Ruangwa Mkoa wa Lindi wakiwa katika mafunzo ya Uraghbishi yaliyoandaliwa na kutekelezwa na LANGO kwa ufadhili wa @Open Society Initiative for Eastern African (OSIEA).