Ugawaji wa vitendea kazi kwa vikundi 6 vya wakulima wa mwaniUgawaji wa vitendea kazi kwa vikundi 6 vya wakulima wa mwani
Mkurugenzi wa Shirika la LANGO akigawa vitendea kazi kwa maana ya vifaa vya kutumia wakati wa kulima zao la mwani kwa vikundi 6 vya Wanawake na Vijana wanaojishughulisha na kilimo