- February 22, 2021
- Posted by: Lango Tanzania
- Category: Latest News
No Comments
Kupitia mradi wa Kuimarisha Ushiriki wa Wananchi, Uwazi na Uwajibikaji katika Usimamizi wa Tozo ya Huduma kutoka Sekta ya Madini na Gesi Asilia. LANGO Imefanya utambuzi wa waraghibishi katika kata za Chunyu, Matambalale na Mbekenyera zilizopo wilaya ya Ruangwa Mkoa wa Lindi. Kwa ufadhili wa Shirika la Open Society Initiative for Eastern Africa (OSIEA)