#WorldEnviromentDay

Shirika la LANGO linaungana na dunia kuadhimisha siku ya Mazingira duniani. Kila mmoja anao wajibu wa kutunza pamoja na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia ya  nchi kulingana kauli ya mwaka huu june / 5 /2020.

            ”Tuhifadhi Mazingira ili kukabiliana na Mabadiliko ya tabia ya nchi.”



4 Comments

Leave a Reply