Utambulishaji wa vikundi vya wanawake na vijana wanao lima zao la mwani.Utambulishaji wa vikundi vya wanawake na vijana wanao lima zao la mwani.
LANGO kupitia Mradi wa Kupinga ukatili wa kijinsia na uwezeshaji wa kiuchumi kwa wanawake na vijana, limefanya zoezi la ugawaji wa vifaa vya kunawia mikono katika shule za msingi 7