Mafunzo ya kuwajengea uwezo wakulima wa mwani.

Mafunzo ya kuwajengea uwezo wakulima wa mwani. post thumbnail image

         

Mkurugenzi wa Shirika la LANGO pichani  Mr Michle Mwanga alisema haya katika mafunzo ya kuwajengea uwezo wakulima wa mwani. ” Tusifanye uzalishaji kwa mazoea tu bali kujifunza ni muhimu ili kuwa wataalamu zaidi wa zao la Mwani.”Lengo lilikuwa kuwaongezea utaalamu katika ukulima wa zao hilo ikiwemo kuwatolea mifano ya jinsi gani wanaweza kuzalisha kwa wingi na matumizi mbalimbali ya zao hilo .Mafunzo haya yalifanyika katika kata ya Mchinga wilaya ya Lindi. yaliendeshwa na mtaalamu na mkulima wa mwani. @Oxfamtanzania @Langotanzania.

4 thoughts on “Mafunzo ya kuwajengea uwezo wakulima wa mwani.”

  1. Hi there. I discovered your blog via Google whilst searching for a comparable matter, your website got here up. It looks great. I have bookmarked it in my google bookmarks to visit then. Marsiella Marlow Maia

  2. Howdy! I simply wish to give an enormous thumbs up for the great data you have right here on this post. I might be coming back to your blog for extra soon. Merrie Sanders Erlina

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post