Washiriki kutoka kata za Chunyu, Matambalale na Mbekenyera wilayani Ruangwa Mkoa wa Lindi wakiwa katika mafunzo ya Uraghbishi yaliyoandaliwa na kutekelezwa na LANGO kwa ufadhili wa @Open Society Initiative for Eastern African (OSIEA).
Mafunzo ya Uraghibishi Wilayani Ruangwa
Categories:
Related Post
WADAU WA ZAO LA MWANI WAKUTANA KATIKA JUKWAA MOJAWADAU WA ZAO LA MWANI WAKUTANA KATIKA JUKWAA MOJA
Shirika la LANGO kwa ufadhili wa shirika la OXFAM Tanzania limeandaa jukwaa lililowakutanisha wadau mbalimbali wa zao la mwani ikiwemo wakulima, makampuni yawanunuzi, pamoja na Watendaji wa serikali ambao ni
ZOEZI LA UFUATILIAJI WA MAENDELEO YA VIKUNDI VYA WAKULIMA WA MWANIZOEZI LA UFUATILIAJI WA MAENDELEO YA VIKUNDI VYA WAKULIMA WA MWANI
Shirika la LANGO limefanya ziara ya kukagua mashamba ya vikundi vya wakulima wa mwani katika Kata ya Mchinga Manispaa ya Lindi kwa lengo la kutathimini maendeleo ya shughuli zinazofanywa na