Jukwaa la wadau wa sekta ya uziduaji Gesi asilia kutoka mikoa ya Lindi na Mtwara, walipokutana kwa pamoja Manispaa ya Lindi (Sea View Beach Resort) na kujadili Masuala ya tasnia hiyo ikiwemo mradi wa uchakati Gesi asilia (LNG), Tozo ya Huduma na Uwajibikaji wa makampuni kwa jamii (CSRs). Jukwa hili limetekelezwa kwa ushirikiano kati ya Mashirika ya Oxfam Tanzania, MSOAPO-Mtwara na LANGO.
Jukwaa la wadau wa sekta ya uziduaji Gesi Asilia

Categories:
Related Post
USIMAMIZI MZURI WA MAPATO YATOKANAYO NA SEKTA YA UZIDUAJI NDIO MHIMILI MUHIMU WA MAENDELEO YA JAMII ZETUUSIMAMIZI MZURI WA MAPATO YATOKANAYO NA SEKTA YA UZIDUAJI NDIO MHIMILI MUHIMU WA MAENDELEO YA JAMII ZETU
Hayo yamezungumzwa katika warsha ya kubadilishana uzoefu, kujadili mafanikio na changamoto juu ya usimamizi wa gawio la 20% ya Tozo ya Huduma kutoka halmashauri ya Kilwa itokanayo na sekta ya
ZIARA YA WAKULIMA WA MWANI LINDI NA MTWARA KWENDA ZANZIBARZIARA YA WAKULIMA WA MWANI LINDI NA MTWARA KWENDA ZANZIBAR
Wakulima wa zao la mwani kutoka Lindi na Mtwara wakifuatilia kwa makini mafunzo nadharia yaliyokua yakiendelea Katika kuendelea kutekeleza mradi wa Kuimarisha Usawa wa Kijinsia na Kuwezesha Kiuchumi Wanawake na

Shirika la LANGO limeisaidia kutoa Mbuzi kwa vikundi saba vya wanawakeShirika la LANGO limeisaidia kutoa Mbuzi kwa vikundi saba vya wanawake
Shirika la LANGO limeisaidia kutoa Mbuzi kwa vikundi saba vya wanawake na vijana vilivyopo katika kata ya Mbaja na Mchinga ambavyo vipo kwenye mradi wa “Kuimarisha Usawa wa Kijinsia na