Kikao kati ya Waraghibishi kutoka Mbanja Lindi na Songosongo-kilichofanyika kata ya Songosongo kwa lengo la kubadilisha uzoefu , mafanikio , changamoto na namna bora jamii inaweza kuendeleza uchechemuzi katika sekta ya uziduaji.
KIKAO KATI YA WARAGHIBISHI

Categories:
Related Post
Ugawaji wa vitendea kazi kwa vikundi 6 vya wakulima wa mwaniUgawaji wa vitendea kazi kwa vikundi 6 vya wakulima wa mwani
Mkurugenzi wa Shirika la LANGO akigawa vitendea kazi kwa maana ya vifaa vya kutumia wakati wa kulima zao la mwani kwa vikundi 6 vya Wanawake na Vijana wanaojishughulisha na kilimo

Mafunzo ya kuwajengea uwezo wakulima wa mwani.Mafunzo ya kuwajengea uwezo wakulima wa mwani.
Mkurugenzi wa Shirika la LANGO pichani Mr Michle Mwanga alisema haya katika mafunzo ya kuwajengea uwezo wakulima wa mwani. ” Tusifanye uzalishaji kwa mazoea tu
UTAMBUZI WA WARAGHBISHIUTAMBUZI WA WARAGHBISHI
Katika kuanza utekelezaji wa mradi wa Uraghbishi, LANGO kwa ufadhili wa shirika la TWAWEZA East Africa, limesimamia shughuli za kutambulisha mradi kwa wanajamii wa vijiji vinavyoguswa na mradi huo pamoja