SERIKALI YA LINDI KUWEKA MIKAKATI THABITI JUU YA UJIO WA MRADI WA GESI WA LGNSERIKALI YA LINDI KUWEKA MIKAKATI THABITI JUU YA UJIO WA MRADI WA GESI WA LGN
Meya wa Lindi, Frank Magari amesema serikali mkoani humo imeazimia kuhakikisha wananchi wanashiriki kikamilifu katika fursa za uwekezaji zitakazoambata na ujio wa mradi mkubwa wa kuchakata gesi asilia wa LNG