WADAU WA ZAO LA MWANI WAKUTANA KATIKA JUKWAA MOJAWADAU WA ZAO LA MWANI WAKUTANA KATIKA JUKWAA MOJA
Shirika la LANGO kwa ufadhili wa shirika la OXFAM Tanzania limeandaa jukwaa lililowakutanisha wadau mbalimbali wa zao la mwani ikiwemo wakulima, makampuni yawanunuzi, pamoja na Watendaji wa serikali ambao ni