Zoezi la kutembelea shule za msingi mkoani Lindi.Zoezi la kutembelea shule za msingi mkoani Lindi.
LANGO kupitia Mradi wa Kupinga ukatili wa kijinsia na uwezeshaji wa kiuchumi kwa wanawake na vijana, limefanya zoezi la ugawaji wa vifaa vya kunawia mikono katika shule za msingi 7