Shirika la LANGO limeisaidia kutoa Mbuzi kwa vikundi saba vya wanawake

Shirika la LANGO limeisaidia kutoa Mbuzi kwa vikundi saba vya wanawake na vijana vilivyopo katika kata ya Mbaja na Mchinga ambavyo vipo kwenye mradi wa “Kuimarisha Usawa wa Kijinsia na Kuwezesha Wanawake na Vijana Kiuchumi” vimesaidiwa ili kuendelea kukuza vipato vyao na wafuge mbuzi hawa ili waweze kuzaliana na pia vikundi viwe endelevu. Kila kikundi kilipatiwa Mbuzi watatu.



6 Comments

Leave a Reply