Mrejesho wa uchaguzi wa serikali za mita kwa WANAWAKE walioshinda na waliochaguliwa kushiriki katika mchakato mzima wa uchaguzi mwaka 2019, wakieleza mafanikio, changamoto na namna ya walivyozitatua changamoto hizo walizopitia wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2019 yaliofanyika Lindi Mjini katika ukumbi wa Chama cha Walimu
Kikao cha Mrejesho wa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa wanawake.

Categories:
Related Post
WADAU WA ZAO LA MWANI WAKUTANA KATIKA JUKWAA MOJAWADAU WA ZAO LA MWANI WAKUTANA KATIKA JUKWAA MOJA
Shirika la LANGO kwa ufadhili wa shirika la OXFAM Tanzania limeandaa jukwaa lililowakutanisha wadau mbalimbali wa zao la mwani ikiwemo wakulima, makampuni yawanunuzi, pamoja na Watendaji wa serikali ambao ni
VICE PRESIDENT (MAKAMU WA RAIS AWAMU YA SITA)VICE PRESIDENT (MAKAMU WA RAIS AWAMU YA SITA)
Shirika la LANGO, tuna toa Pongenzi kwa Mheshimiwa Dr Philip Mpango alie kuwa Waziri wa Fedha kwa Kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kila