- October 23, 2020
- Posted by: Lango Tanzania
- Category:
No Comments
Afisa tawala Wilaya ya Kilwa ndugu Haji Balozi akitoa Hotuba ya Ufunguzi kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya wakati wa Mkutano wa wadau wa Sekta ya Uziduaji Wilayani Kilwa juu ya Uwajibikaji wa makampuni ya uziduaji kwa jamii (CSR)