WAKATI WA MKUTANO WA WADAU WA UZIDUAJI

Afisa tawala Wilaya ya Kilwa ndugu Haji Balozi akitoa Hotuba ya Ufunguzi kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya wakati wa Mkutano wa wadau  wa Sekta ya Uziduaji  Wilayani Kilwa juu ya Uwajibikaji wa makampuni ya uziduaji kwa jamii (CSR)