Kikao cha Mrejesho wa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa wanawake.

Mrejesho wa uchaguzi wa serikali za mita kwa WANAWAKE walioshinda na waliochaguliwa kushiriki katika mchakato mzima wa uchaguzi mwaka 2019, wakieleza mafanikio, changamoto na namna ya walivyozitatua changamoto hizo walizopitia wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2019 yaliofanyika Lindi Mjini katika ukumbi wa Chama cha Walimu



Leave a Reply