- February 17, 2020
- Posted by: Lango Tanzania
- Category: Latest News
No Comments
Jukwaa la wadau wa sekta ya uziduaji Gesi asilia kutoka mikoa ya Lindi na Mtwara, walipokutana kwa pamoja Manispaa ya Lindi (Sea View Beach Resort) na kujadili Masuala ya tasnia hiyo ikiwemo mradi wa uchakati Gesi asilia (LNG), Tozo ya Huduma na Uwajibikaji wa makampuni kwa jamii (CSRs). Jukwa hili limetekelezwa kwa ushirikiano kati ya Mashirika ya Oxfam Tanzania, MSOAPO-Mtwara na LANGO.