WANANCHI KUJENGEWA UWEZO WA KUWEZA KUTAMBUA, KUCHAMBUA NA KUTATUA CHANGAMOTO ZAO WENYEWEWANANCHI KUJENGEWA UWEZO WA KUWEZA KUTAMBUA, KUCHAMBUA NA KUTATUA CHANGAMOTO ZAO WENYEWE
Shirika la LANGO kwa kushirikiana na shirika la TWAWEZA East Africa limefanya mkutano na viongozi wa halmashauli ya Mtama, na viongozi wa vijiji vya Halmashauri ya Mtama kutambulisha programu mpya