WADAU WA MRADI WA GESI WA LNG NA BOMBA LA MAFUTA LA EACOP KATIKA MEZA MOJAWADAU WA MRADI WA GESI WA LNG NA BOMBA LA MAFUTA LA EACOP KATIKA MEZA MOJA
Shirika la LANGO kwa ufadhili wa shirika la OXFAM International limefanya ziara ya mafunzo jijini Tanga kwenye mradi wa bomba la mafuta la EACOP. Ziara hiyo imeshirikisha wadau wa mradi