WAKAZI WA LINDI WATAHADHARISHWA KUEPUKA MATAPELIWAKAZI WA LINDI WATAHADHARISHWA KUEPUKA MATAPELI
Wakazi wa mkoa wa Lindi hususani wanaokaa kuzunguka mradi wa kuchakata gesi wa LNG, uliopo katika kata ya Mbaja katika Manispaa ya Lindi wapewa onyo kuepuka matapeli wanaochangisha wananchi hao