Utambulishaji wa vikundi vya wanawake na vijana wanao lima zao la mwani.
Lango Tanzania
Wafanyakazi wa LANGO, @Oxfam Tanzani pamoja na @msoapomtwara walitembela vikundi mbambali vya wakulima wa mwani katika kata ya Mchinga kupitia mradi wa kupinga ukatili wa kijinsia na uwezeshaji wa kiuchumi kwa wanawake na vijana , kwa lengo la kuvitambua vikundi hivyo na kujadiliana namna ya kuwawezesha wakulima wa mwani juu ya mbinu za kisasa za uzalishaji, ili kuwainua kiuchumi.