Mkurugenzi wa Shirika la LANGO akigawa vitendea kazi kwa maana ya vifaa vya kutumia wakati wa kulima zao la mwani kwa vikundi 6 vya Wanawake na Vijana wanaojishughulisha na kilimo cha Mwani katika kata ya Mchinga Wilaya ya Lindi . Lengo kubwa lilikuwa kuwezesha kuongeza uzalisahaji na kujikwamua kiuchumi @Oxfam Tanzania @langotanzani.