Mafunzo ya Uraghibishi Wilayani Ruangwa Lango Tanzania 4 years ago Washiriki kutoka kata za Chunyu, Matambalale na Mbekenyera wilayani Ruangwa Mkoa wa Lindi wakiwa katika mafunzo ya Uraghbishi yaliyoandaliwa na kutekelezwa na LANGO kwa ufadhili wa @Open Society Initiative for Eastern African (OSIEA).