Lindi (Region) Association of Non Governmental Organizations (Lango)

FURAHA YA MKULIMA NI MAVUNO

 

 

 

Katika  kuelekea kufikia lengo la kuimarisha  na kuinua uchumi wa wanake na vijana wanaolima zao la Mwani , kikundi cha NAMIHODI MWISHO pamoja na kikundi cha MUUNGANO vilivyo kata ya Mchinga Wilayani Lindi vilifanikiwa kuvuna mazao yao kwa awamu ya kwanza kabisa toka waanze kilimo hich0 baada ya kuwezeshwa na Shirika la LANGO  kupitia ufadhili wa Shirika la @Oxfamtanzania.